Collector
Waziri Kombo awasilisha ujumbe maalumu wa Rais Samia kwa Rais wa Djibouti | Collector
Waziri Kombo awasilisha ujumbe maalumu wa Rais Samia kwa Rais wa Djibouti
bongo5.com

Waziri Kombo awasilisha ujumbe maalumu wa Rais Samia kwa Rais wa Djibouti

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Djibouti Ismaïl Omar Guelleh. Waziri Kombo amewasilisha ujumbe huo leo Mei 9,2026 wakati alipomwakilisha Rais Samia katika sherehe za uapisho wa Rais Guelleh, zilizofanyika katika …

Go to News Site