bongo5.com
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 220 kutoka Benaco hadi Kyaka pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Benaco, mradi unatarajiwa kuunganisha Mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa. Hafla hiyo imefanyika leo Mei 9, 2026 katika …
Go to News Site