bongo5.com
Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Magereza kufanya tafiti za kina zitakazowezesha kuanzishwa kwa mfuko maalumu wa kuwasaidia wafungwa wenye ujuzi wanaporejea uraiani, ili waweze kujitegemea kiuchumi na kuepuka kurejea katika makosa ya uhalifu. Amesema hatua hiyo ni sehemu ya kuimarisha mfumo wa urekebishaji nchini kwa kuhakikisha wafungwa wanaopata mafunzo ya ufundi na stadi …
Go to News Site