Collector
Kapinga awapa kipaumbele wazawa ajira viwandani | Collector
Kapinga awapa kipaumbele wazawa ajira viwandani
HabariLeo

Kapinga awapa kipaumbele wazawa ajira viwandani

PWANI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amewashauri wamiliki wa viwanda vipya kutoa kipaumbele kwa wazawa kuhusu ajira ili kukuza uchumi na mapato ya taifa kwa ujumla. Akizungumza Mei 09, 2026, wakati wa akifungua wa kiwanda kipya cha kutengeneza tambi cha Kura Food mkoani Pwani, Kapinga amesema serikali inaendelea kuboresha mazingira ya biashara ikiwemo … The post Kapinga awapa kipaumbele wazawa ajira viwandani first appeared on HabariLeo .

Go to News Site