HabariLeo
ARUSHA: Tanzania imeendelea kupiga hatua katika sekta ya afya ndani ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutokana na utoaji wa huduma bora za afya katika hospitali mbalimbali nchini. Aidha, serikali inaendelea kufanyia kazi masuala mbalimbali ya kada ya uuguzi, ikiwemo muundo wa utawala wa Wizara ya Afya pamoja na muundo wa utumishi wa … The post Tanzania yapiga hatua huduma za afya Afrika Mashariki first appeared on HabariLeo .
Go to News Site