HabariLeo
DAR ES SALAAM: Kongamano maalumu lililowakutanisha wanawake kutoka sekta mbalimbali limefanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani, kwa lengo la kujadili na kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya familia, malezi pamoja na ukuaji wa uchumi kwa wanawake. Akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika Dar es salaam, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa … The post Wanawake wahamasishwa kujenga familia zenye maadili first appeared on HabariLeo .
Go to News Site