Mwananchi
Zaidi ya viwanja 300 vilivyotolewa na Serikali kwa wananchi wa Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja, vinatarajiwa kurejeshwa serikalini ili kutafutiwa matumizi mengine baada ya wahusika kushindwa kuviendeleza kwa muda mrefu.
Go to News Site