Collector
Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria | Collector
Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria
HabariLeo

Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria

SHINYANGA: Mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kulwa Malale amesema Msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aid alivyoelezwa na kupewa ushauri amefarijika na kufurahi sana. Akizungumza na HabariLeo Malale alieleza mgogoro wa ardhi uliopo ulianza rasmi mwaka jana baada ya kudai eneo kuuzwa mara mbili. “Nimeendesha kesi … The post Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria first appeared on HabariLeo .

Go to News Site