HabariLeo
MWANZA: MKUU wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Lúdigija, amesistiza umuhimu wa kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali inakamilika kwa wakati uliopangwa. Ludigija alisema hayo jana wakati wa kikao cha baraza la madiwani liliofanyika katika ukumbi wa Philip Mangula wilayani Kwimba mkoani Mwanza. Aliwataka … The post DC Kwimba asisitiza usimamizi wa karibu wa miradi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site