HabariLeo
GEITA: SERIKALI imekemea tabia ya ufugaji holela wa wanyama aina ya punda usiozingatia huduma, makazi na malazi stahiki kwa wanyama hao hali inayopelekea kuhatarisha afya, usalama na maisha ya punda nchini. Aidha serikali imeagiza jamii kushiriki kutoa taarifa na kudhibiti shughuli na biashara haramu zinazoongeza athari na hatari ya mnyama punda kutoweka nchini na duniani … The post Serikali yakemea ufugaji holela wa punda mitaani first appeared on HabariLeo .
Go to News Site