HabariLeo
GEITA: SERIKALI imeidhinisha mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa Km 985.28 katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita zitakazohudumiwa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA). Meneja wa TARURA wilayani Nyang’hwale, Mhandisi John Msita ametoa taarifa hiyo wakati wa kikao cha tatu cha Baraza la Madiwani la kipindi cha robo ya tatu ya mwaka … The post Kilomita 985 barabara ya Nyang’hwale zaidhinishwa first appeared on HabariLeo .
Go to News Site