HabariLeo
KIGOMA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameeleza kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma unaotekelezwa na kampuni ya DONGFANG Electric International Corporationo (DEC). Pia ameagiza kuondolewa eneo la mradi kwa mhandisi mkazi wa kampuni hiyo ayesimamia mradi huo Duan Longhai. Waziri Ndejembi ametoa agizo hilo leo … The post Ndejembi achukizwa mradi wa umeme kukwama Kigoma first appeared on HabariLeo .
Go to News Site