HabariLeo
MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amepongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Kwa kuimarisha ulinzi na usalama. Mtanda alisema hayo Mei 9 katika maadhimisho ya Siku ya Familia ya Jeshi la Polisi yaliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. Mtanda amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linaendelea kuhakikisha amani, utulivu na usalama … The post Ulinzi upo imara Mwanza first appeared on HabariLeo .
Go to News Site