Vijana watumia taka za nywele kuzalisha mbolea | Collector
Mwananchi
Vijana watumia taka za nywele kuzalisha mbolea
Vijana wabunifu wameanza kutumia mabaki ya nywele za binadamu kutoka saluni mbalimbali kuzalisha mbolea hai, hatua inayosaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi wa mazingira.