Collector
Tukay wa UDSM aibuka kinara wa andiko la suluhu ya foleni | Collector
Tukay wa UDSM aibuka kinara wa andiko la suluhu ya foleni
Mwananchi

Tukay wa UDSM aibuka kinara wa andiko la suluhu ya foleni

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Tukay Thomas, ameibuka mshindi wa shindano la andiko la ubunifu la kutafuta suluhu ya msongamano wa magari mijini, na kuzawadiwa Sh10 milioni.

Go to News Site