Collector
DC Kyobya avitaka vyama vya msingi kutumia mizani ya kidigitali | Collector
DC Kyobya avitaka vyama vya msingi kutumia mizani ya kidigitali
Mwananchi

DC Kyobya avitaka vyama vya msingi kutumia mizani ya kidigitali

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Danstan Kyobya amewataka viongozi wa vyama vya msingi katika bonde la mto Kilombero, kuhakikisha mizani mpya za kidijitali zinatumika kwa usahihi ili kuepuka udanganyifu.

Go to News Site