bongo5.com
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Yusuph Makamba. Balozi Dk. Nchimbi amemtembelea Mzee Makamba katika makazi yake Tegeta Jijini Dar es Salaam leo Mei 10, …
Go to News Site