Collector
Ndejembi aagiza ukaguzi maalum matumizi Dola Milioni 20 za malipo mradi wa Malagarasi MW 49-5 Kigoma | Collector
Ndejembi aagiza ukaguzi maalum matumizi Dola Milioni 20 za malipo  mradi wa Malagarasi MW 49-5 Kigoma
bongo5.com

Ndejembi aagiza ukaguzi maalum matumizi Dola Milioni 20 za malipo mradi wa Malagarasi MW 49-5 Kigoma

Aelekeza kuondolewa mara moja kwa meneja wa mradi upande wa mkandarasi Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema hajaridhishwa na mwenendo wa utekelezaji wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 49.5 katika maporomoko ya Mto Malagarasi mkoani Kigoma unaotekelezwa na Kampuni ya Dongfang Electric kutokana na kuchelewa kwa kazi pamoja na kutotekeleza masharti ya mkataba waliouingia …

Go to News Site