Mwananchi
Wakati huduma ya uzazi pandikizi (IVF) ikiendelea kuwa tegemeo kwa wanandoa wengi wanaokabiliwa na changamoto ya kupata mtoto, mjadala umeendelea kuibuka kuhusu gharama za huduma hiyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambako mzunguko mmoja wa matibabu hugharimu kati ya Sh14 milioni na Sh18 milioni.
Go to News Site