Collector
Mwanafunzi UDSM ajinyakulia Milioni 10 kwa ubunifu wa kutatua foleni | Collector
Mwanafunzi UDSM ajinyakulia Milioni 10 kwa ubunifu wa kutatua foleni
bongo5.com

Mwanafunzi UDSM ajinyakulia Milioni 10 kwa ubunifu wa kutatua foleni

Mwanafunzi wa Shahada ya Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Dar wa Salaam (UDSM), Tukay Thomas, ameibuka mshindi wa Chemsha Bongo Challenge iliyoanzishwa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega. Chemsha Bongo hiyo ilianzishwa kama shindano kwa wanafunzi wa shahada za uhandisi katika vyuo vikuu nchini, kwa lengo la kuibua mawazo ya kutatua kero ya foleni nchini. …

Go to News Site