Collector
Wawili wafa, 13 wajeruhiwa ajali ya basi Iringa | Collector
Wawili wafa, 13 wajeruhiwa ajali ya basi Iringa
HabariLeo

Wawili wafa, 13 wajeruhiwa ajali ya basi Iringa

IRINGA: Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea asubuhi ya leo eneo la Mseke, wilayani Iringa, baada ya basi la kampuni ya Classic kugongana uso kwa uso na gari jingine kabla ya kupinduka na kutumbukia korongoni. Basi hilo, linalofanya safari kati ya Harare nchini Zimbabwe na Dar es … The post Wawili wafa, 13 wajeruhiwa ajali ya basi Iringa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site