Collector
Ashauri PPC Center, wizara kuskiliza wafanyabiashara pamoja | Collector
Ashauri PPC Center, wizara kuskiliza wafanyabiashara pamoja
HabariLeo

Ashauri PPC Center, wizara kuskiliza wafanyabiashara pamoja

DAR ES SALAAM: Mdau na mwekezaji katika sekta ya kilimo, Malebo Lucas wa kampuni ya Malebo Farm, ameishauri Serikali kupitia Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-CENTRE) pamoja na Wizara ya Maji kubadili mbinu na kuanza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na wafanyabiashara ili kubaini changamoto zinazowazuia kushiriki katika … The post Ashauri PPC Center, wizara kuskiliza wafanyabiashara pamoja first appeared on HabariLeo .

Go to News Site