Mwananchi
Mfanyabiashara maarufu, Aliko Dangote, amesema anaiangalia zaidi Kenya kama sehemu inayofaa kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, badala ya Tanga iliyokuwa imependekezwa awali.
Go to News Site