Collector
Dk. Gwajima: Ushiriki wa Tanzania kimataifa lazima ulete manufaa kwa wananchi | Collector
Dk. Gwajima: Ushiriki wa Tanzania kimataifa lazima ulete manufaa kwa wananchi
HabariLeo

Dk. Gwajima: Ushiriki wa Tanzania kimataifa lazima ulete manufaa kwa wananchi

DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amezindua rasmi Mwongozo wa Kuratibu Ushiriki wa Wadau wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum katika Mikutano ya Kikanda na Kimataifa wa mwaka 2024, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na tija ya ushiriki wa Tanzania katika majukwaa ya kimataifa. ‎ … The post Dk. Gwajima: Ushiriki wa Tanzania kimataifa lazima ulete manufaa kwa wananchi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site