HabariLeo
DAR ES SALAAM: MBUNGE wa Jimbo la Mbagala, Burchard Kakulu amesema elimu ya usalama barabarani inayotolewa kwa waendesha bodaboda ni muhimu katika kuokoa maisha ya wananchi pamoja na kuchochea maendeleo ya taifa. Kakulu amesema hayo kwenye uzinduzi wa mwendelezo wa kampeni ya Usalama Daima chini ya Azam Mediai iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala, Temeke … The post ‘Elimu usalama barabarani itaokoa maisha ya wananchi’ first appeared on HabariLeo .
Go to News Site