HabariLeo
DAR ES SALAAM: MBUNGE wa Jimbo la Mbagala, Burchard Kakulu amesema kampeni ya utoaji elimu ya usalama barabarani kwa waendesha bodaboda itakuwa sehemu muhimu ya maandalizi ya Tanzania kuelekea mashindano ya 2027 Africa Cup of Nations. Kakulu amesema hayo katika kampeni ya Usalama Daima iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala, Temeke jijini Dar es Salaam, … The post Elimu usalama barabarani yalenga AFCON 2027 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site