Collector
DSTV yajipanga Kombe la Dunia | Collector
DSTV yajipanga Kombe la Dunia
HabariLeo

DSTV yajipanga Kombe la Dunia

DAR ES SALAAM: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zinatarajiwa kuvunja rekodi mpya duniani baada ya idadi ya timu kuongezeka kutoka 32 hadi 48 huku mechi zikiongezeka kutoka 68 hadi 104 katika mashindano yatakayofanyika kwa mara ya kwanza katika mataifa matatu ya Marekani, Canada na Mexico. Kutokana na ukubwa huo wa mashindano, kampuni ya DStv … The post DSTV yajipanga Kombe la Dunia first appeared on HabariLeo .

Go to News Site