HabariLeo
Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi kubwa zaidi katika usimamizi wa miradi ya maji kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Prof. Kamuzora alitoa kauli … The post Mchambuzi wa sera azungumzia changamoto ya maji first appeared on HabariLeo .
Go to News Site