Collector
Wadau kilimo wapewa elimu kutambua athari tabianchi | Collector
Wadau kilimo wapewa elimu kutambua athari tabianchi
HabariLeo

Wadau kilimo wapewa elimu kutambua athari tabianchi

DODOMA: Shirika la AGRA limeanza kutoa mafunzo maalum ya uchambuzi wa hatari za tabianchi kwa wadau wa sekta ya kilimo nchini, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kusaidia Tanzania kujenga mifumo ya chakula na kilimo inayohimili mabadiliko ya hali ya hewa. Mafunzo hayo ya siku mbili kuhusu Climate Vulnerability Mapping and Risk Analysis yanafanyika jijini … The post Wadau kilimo wapewa elimu kutambua athari tabianchi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site