Collector
RECAP:Jux na Harmonize hawajui thamani kwenye Muziki – El Mando | Collector
RECAP:Jux na Harmonize hawajui thamani kwenye Muziki – El Mando
bongo5.com

RECAP:Jux na Harmonize hawajui thamani kwenye Muziki – El Mando

Kupitia kipindi cha #Recap na Mando @el_mando_tz amezungumzia juu ya msanii Juma Jux pamoja na Harmonize kuperfom kwenye Birthday ya aliyekuwa meneja wa Diamond Platnumz ambaye ni Sallam SK. @el_mando_tz anadai kuwa kufanya hivyo kwa wasanii hao ni kutokujua thamani yao na kujidogosha. Je, Unakubaliana na kauli ya @el_mando_tz kuhusu wasanii hao?? Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wa Youtube Bongofive

Go to News Site