HabariLeo
DAR ES SALAAM: Katika hatua muhimu kwa sekta ya benki nchini na uongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, anatarajiwa kuzungumza katika Jukwaa la Mkutano wa Biashara Afrika 2026 utakaofanyika Mei 30, 2026 nchini Uingereza. Katika jukwaa hilo, Zaipuna anatarajiwa kutoa hotuba kuu kuhusu safari ya mageuzi … The post Zaipuna kueleza mageuzi ya NMB Cambridge first appeared on HabariLeo .
Go to News Site