Collector
Rais Samia awasili nchini Uganda kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Museveni | Collector
Rais Samia awasili nchini Uganda kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Museveni
bongo5.com

Rais Samia awasili nchini Uganda kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Museveni

Rais  wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Entebbe nchini Uganda kwa lengi la kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo, Yowere Kaguta Museveni. Sherehe za uapisho wa Rais Museveni zitafanyika katika viwanja vya Kalolo jijini Kampala nchini humo na kwamba viongozi wengine kutoka mataifa mbalimbali nao wanatarajiwa kushiriki sherehe hiyo. Written …

Go to News Site