Miaka 27 ni umri mrefu kwa mwanadamu. Mtu mwenye umri huo atakuwa amesoma na tayari ameanza kulitumikia Taifa na familia yake.