Wabunge wamehoji gharama za malipo kabla ya kumuona daktari kwamba ni miongoni mwa kero zinazotakiwa kuondolewa kwani zinaumiza wagonjwa.