Collector
Ruth Zaipuna Kuipeleka NMB Jukwaa la Kimataifa Cambridge | Collector
Ruth Zaipuna Kuipeleka NMB Jukwaa la Kimataifa Cambridge
Swahili Times

Ruth Zaipuna Kuipeleka NMB Jukwaa la Kimataifa Cambridge

Katika hatua muhimu kwa sekta ya benki nchini na uongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna anatarajiwa kuzungumza katika Cambridge Africa Business Conference 2026, utakaofanyika Mei 30, 2026 katika Chou cha Biashara cha Cambridge Judge chini ya Chuo Kikuu cha Cambridge Uingereza. Katika jukwaa hilo, Zaipuna anatarajiwa kutoa hotuba kuu kuhusu safari ya mageuzi ya NMB na mchango wake katika uchumi wa Tanzania, akieleza namna benki hiyo ilivyokua kutoka katika mizizi ya huduma ndogo za fedha hadi kuwa moja ya taasisi zinazoongoza katika sekta ya fedha nchini. Mkutano […] The post Ruth Zaipuna Kuipeleka NMB Jukwaa la Kimataifa Cambridge appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site