bongo5.com
Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya watu watatu na kampuni tisa kwa kusaidia usafirishaji wa mafuta ya Iran kuelekea China. Kampuni nne zina makao yake Hong Kong na nne nyengine ziko katika Falme za Kiarabu kwa huku kampuni ya tisa ikiwa na makao yake Oman. Haya yanafanyika siku chache kabla Rais Donald Trump kufanyaziara …
Go to News Site