Wafanyabiashara waaswa kutumia makongamano ya kimataifa kutafuta masoko | Collector
Mwananchi
Wafanyabiashara waaswa kutumia makongamano ya kimataifa kutafuta masoko
Wafanyabiashara nchini wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki mikutano na makongamano ya kimataifa ili kupata masoko mapya, washirika wa biashara na fursa za uwekezaji.