Mwananchi
Hatimaye uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam umefanya ukaguzi wa Barabara ya Bima–Kimanga, ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikilalamikiwa na wananchi kutokana na ubovu wake, huku ukiahidi kuanza haraka kazi ya ujenzi na ukarabati.
Go to News Site