Collector
Mchengerwa: Watakaokwamisha viwanda vya dawa kushughulikiwa | Collector
Mchengerwa: Watakaokwamisha viwanda vya dawa kushughulikiwa
Mwananchi

Mchengerwa: Watakaokwamisha viwanda vya dawa kushughulikiwa

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali haitarudi nyuma katika mpango wa ujenzi wa viwanda vya dawa nchini, akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wote watakaojaribu kukwamisha mchakato huo.

Go to News Site