bongo5.com
Mwekezaji mzawa na mmiliki wa kiwanda cha Triram Investment Ltd, Bw. Ramadhani Rashid Maige, ameiomba Serikali kuingilia kati baada ya watu wasiojulikana kuvamia kiwanda chake kilichopo Vijibweni, Mtaa wa Majengo, na kuwafukuza wafanyakazi huku wakifunga eneo hilo kwa madai ya kupewa maagizo na “bosi” wao. Akizungumza leo, Bw. Maige amesema anamiliki eneo hilo kihalali na …
Go to News Site