Swahili Times
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema haitaji msaada wa Rais wa China, Xi Jinping kumaliza vita dhidi ya Iran. Akizungumza kabla ya mkutano muhimu nchini China, Rais Trump amesema Marekani itashinda vita hiyo kwa amani au vinginevyo. “Sidhani kama tunahitaji msaada wowote kuhusu Iran. Tutashinda kwa njia moja au nyingine, kwa amani au vinginevyo,” amesema wakati akizungumza na waandishi wa habari. Donald Trump amesema serikali yake na maafisa wakuu wa Marekani na China walikubaliana mwezi uliopita kwamba hakuna nchi inayopaswa kutoza ushuru au ada kwa meli zinazopita katika eneo la Strait of Hormuz, katika jitihada za kuonyesha msimamo wa pamoja kabla […] The post Trump: Sihitaji msaada wa China kumaliza vita Iran appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site