bongo5.com
Jumla ya watu 314 wamepata huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika Kikao Kazi cha 21 cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Itifaki na Uhusiano Serikalini kilichomalizika hivi karibuni mjini Njombe ambacho kiliandaliwa na Idara ya Habari – Maelezo. Huduma hizo zilitolewa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa lengo la kuhamasisha jamii …
Go to News Site