Collector
Dk. Mecktridis ahoji hatima ya wakulima waliohamishwa Malinyi | Collector
Dk. Mecktridis ahoji hatima ya wakulima waliohamishwa Malinyi
HabariLeo

Dk. Mecktridis ahoji hatima ya wakulima waliohamishwa Malinyi

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Malinyi Dk. Mecktridis Mdaku ametoa hoja Bungeni Jijini Dodoma kwa kuhoji kuhusu hatima ya wananchi wa Malinyi waliohamishwa kutoka katika maeneo yao ya kilimo(Ulanga na Kilombero)na kuwa sehemu ya pori la akiba la Kilombero na kusababisha kuathiri shughuli zao za kilimo cha mpunga kilichokuwa kinawapa kipato. Amehoji nini mpango wa … The post Dk. Mecktridis ahoji hatima ya wakulima waliohamishwa Malinyi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site