Mwananchi
Mfanyabiashara na mkazi wa Kigamboni Mwapemba, Rehema Hassan(42) anayekabiliwa na kesi ya mauaji, ataendelea kusalia mahabusu hadi Mei 26, 2026 kesi yake itakapotajwa tena, kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika.
Go to News Site