Mwananchi
Wakati Rais wa Marekani, Donald Trump na ujumbe wake wakiwasili Beijing jioni ya leo Mei 13,2026 kwa ajili ya mkutano wa ngazi ya juu na Rais wa China, Xi Jinping imeelezwa kuwa miongoni mwa ajenda nzito zitakazojadiliwa ni za kisiasa, kiuchumi na kiusalama.
Go to News Site