Collector
Wamiliki wa shule binafsi wapanga kupandisha gharama za usafiri | Collector
Wamiliki wa shule binafsi wapanga kupandisha gharama za usafiri
Mwananchi

Wamiliki wa shule binafsi wapanga kupandisha gharama za usafiri

Baadhi ya wamiliki wa shule za msingi na sekondari binafsi wamesema huenda wakaongeza gharama za usafiri kwa wanafunzi wanaotumia mabasi ya shule hizo iwapo bei ya mafuta itaendelea kuwa juu katika miezi ya Mei na Juni.

Go to News Site