Mwananchi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesisitiza umoja ndani ya chama hicho na kuvunja makundi yaliyokuwepo kipindi cha uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, akisema yanapaswa kufutwa baada ya uchaguzi.
Go to News Site