Swahili Times
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka wananchi kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto. Dkt. Kisenge amesema kuwa utoaji wa elimu kuhusu matumizi ya vyakula vya wanga inapaswa kuzingatia umri na hali ya afya ya mtu, kwani watoto na vijana wengi bado wanahitaji wanga kwa maendeleo yao ya mwili na akili, hususan wale wasiokuwa na changamoto za kiafya. “Vijana na watoto wanahitaji vyakula vya wanga kwa ajili ya kupata nguvu na kusaidia ukuaji wa akili, upungufu wa wanga […] The post JKCI yawataka wananchi kuwa makini na taarifa za lishe zinazotolewa mitandaoni appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site