Swahili Times
Kouri Richins kutoka jimbo la Utah nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani bila nafasi ya kuachiliwa huru baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mume wake ili arithi mali. Waendesha mashtaka wamesema Richins mwenye umri wa miaka 36 alikuwa na madeni ya mamilioni ya dola, alikuwa amechukua bima za maisha kwa jina la mumewe, na pia alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa. Richins pia alipatikana na hatia ya kudanganya ili kupata fedha za bima baada ya kifo cha mumewe nyumbani kwao karibu na mji wa mapumziko wa Park City. Waendesha mashtaka wamesema aliamini angeurithi utajiri wa mumewe […] The post Mama ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua mumewe ili arithi mali appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site