Collector
Serikali yasisitiza ushindani wa haki kwa wawekezaji | Collector
Serikali yasisitiza ushindani wa haki kwa wawekezaji
HabariLeo

Serikali yasisitiza ushindani wa haki kwa wawekezaji

DAR ES SAAM: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 asilimia 70 inategemea sekta binafsi ikiwemo wafanyabiashara na wawekezaji, hivyo Serikali itaendelea kuwaunga mkono ili kufikia lengo. Mbwasi amezungumza hayo leo Mei 14 katika amefungua rasmi Kongamano la Sheria za Ushindani na Wawekezaji Tanzania … The post Serikali yasisitiza ushindani wa haki kwa wawekezaji first appeared on HabariLeo .

Go to News Site